Ukawa Wafanya ‘Kufuru’ Jangwani, Waikejeli Katiba Inayopendekezwa…!

VYAMA vitatu vikuu vya upinzani vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimefanya mkutano mkubwa jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Jangwani huku vikianisha mapungufu yalio katika Katiba Inavyopendekezwa iliyopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba hivi karibuni mjini Dodoma. Vyama hivyo vya CUF, CHADEMA, NCCR-Mageuzi pamoja na chama cha NLD viliongozwa na viongozi wao wakuu pamoja na …