Wanaharakati Ngazi ya Jamii Watoa Madai Uchaguzi Mkuu

Na Joachim Mushi, WANAHARAKATI Ngazi ya Jamii nchini wametoa madai kuelekea Uchaguzi Mkuu huku wakiiomba Serikali iharakishe mchakato wa uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura ili vijana wengi wanaostahili waweze kuitumia haki yao ya msingi ya kushiriki mchakato wa uchaguzi na ule wa kura ya maoni. Madai hayo yametolewa katika tamko lao lililotolewa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP …

Wanaharakati Wamtaka Rais Kikwete Kuvunja Bunge la Katiba

Na Mwandishi Wetu WANAHARAKATI  kutoka sehemu mbalimbali wametoa rai kwa Rais Jakaya Kikwete kulivunja Bunge maalum la Katiba  ili kuunda Bunge huru litakalokuwa na wawakilishi wasio wabunge wa Bunge la kawaida. Wanaharakati hao kutoka vikundi mbalimbali vya kijamii na asasi za kiraia  wamefikia uamuzi huo leo jioni katika kusanyiko lao la kila Jumatano la Semina za Maendeleo na Jinsia (GDSS) …