Kulwa na Dotto Mwaibale Watembelea Kaburi la Mamayao

Kulwa na Dotto wakiwa wamekaa juu ya kaburi la baba yao mzee Anyitike Mwakwama Mwaibale aliyefariki January 28 mwaka 2007 huku wakilitizama kaburi la mama yao.  Dotto Mwaibale (kulia), akimuelekeza jambo Kulwa wakati wakitoka kuzuru kaburi la mama yao. Dotto Mwaibale akijiburudisha na hindi la kuchemshwa baada ya ziara hiyo fupi ya kuzuru kaburi la mama yao. (Picha zote na …

Rais Kikwete Atuma Rambirambi Vifo vya Wanahabari

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kuomboleza vifo vya Waandishi wa Habari, Innocent Munyuku wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd. na Baraka Karashani ambaye alikuwa Mwanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini. Mwandishi Mwandamizi, Innocent Munyuku alifariki akiwa …

TFF, Wanahabari Wawalilia Munyuku na Karashani

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko vifo vya waandishi wa habari Innocent Munyuku na Baraka Karashani vilivyotokea Novemba 19 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Wakati TFF ikitoa tamko la rambirambi waandishi wa habari mbalimbali wameoneshwa kuguswa na kifo cha ghafla cha mwanahabari Mnyuku pamoja na kile cha mwanahabari Karashani kilichotokea akipatiwa matibabu juzi katika Hospitali …

Mkurugenzi Idara ya Habari Aviasa Vyombo vya Habari Ofisi za Jamhuri Dar

Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam VYOMBO vya habari nchini vimeshauriwa kutoa kipaumbele kwa habari zinazojenga jamii kwa kuihamasisha kushiriki katika miradi mbalimbali ya maendeleo, kudumisha uzalendo na kuepuka habari zinazoweza kusababisha mgawanyiko na chuki katika jamii. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene …