Bi. Twitikege: Mama wa Wanahabari Aliyefariki Siku ya Kuzaliwa

  Ankal Muhidin Issa Michuzi akimfariji Dotto Mwaibale (mwanahabari) wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Jijini Dar es salaam kabla ya kusafirishwa Mbeya kwa mazishi, wengine katika picha ni pamoja na Asha Kigundula, Anna Nkinda na Erick Shigongo anayeonekana kwa mbali   Mshereheshaji mashuhuri nchini Charles Mwakipesile akimfariji mfiwa Nicco Mwaibale mara baada ya kuwasili kijiji cha Newland Kiwira, Tukuyu …