Rais Magufuli Mgeni Rasmi Siku ya Uhuru wa Habari Duniani

        RAIS wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani(WPFD) inayotarajia kufanyika mkoani Mwanza. Maadhimisho hayo ya siku mbili yaani Mei 2 na 3, 2017 yanatarajia kuwakutanisha wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari kujadili masuala mbalimbali ya tasnia ya …

Tigo Yakabidhi Vifaa vya Mawasiliano na Michezo kwa Wanahabari

  Meneja Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha (Kushoto) akikabidhi vifaa mbalimbali vifaa vya mawasiliano na michezo vyenye thamani ya shilingi milioni nane kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dodoma (CPC) Habel Chidawali, ili kufanikisha bonanza la wanahabari la kufunga mwaka 2015 lililopangwa kufanyika baadaye mwezi huu. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dodoma (CPC) Habel Chidawali, akitoa shukrani  mara baada ya kukabidhiwa vifaa mbalimbali vifaa vya mawasiliano na michezo vyenye thamani ya shilingi milioni nane na Meneja mawasiliano …

Serikali ya Magufuli Yaahidi Ushirikiano na Wadau Kuwalinda Wanahabari

Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa bodi udhamini ya Mtandao wa Radio Jamii Tanzania (COMNETA), Balozi Mstaafu, Christopher Liundi alipowasili katika mkutano wa kitaifa wa mashauriano kuhusu hali ya usalama wa waandishi wa habari, uzinduzi wa kikosi kazi cha usalama wa …

Wanahabari Kuchangisha Fedha Kuwasaidia Wagonjwa wa Kansa

SISI Wanataaluma ya Habari hapa nchini tumeamua kuungana pamoja. Lengo kubwa likiwa kusaidiana katika matatizo mbali mbali hasa ya kiafya. Muungano huu hasa umechagizwa na kuugua kwa baadhi ya wenzetu magonjwa sugu ikiwemo saratani. Tumeungana wanataaluma kutoka vyombo vya habari mbalimbali yakiwemo magazeti, Televisheni, Radio na Blogu anuai. Tuko chini ya mwamvuli wa kampeni maalum iitwayo ‘Media Car Wash for …

Wanahabari Katika Semina ya Usalama wa Chakula

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.   Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk. Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa …