Wanafunzi Watarajiwa UDSM Wafundwa Juu ya Maisha ya Chuo

            Bi. Sadaka Gandi (mbele) mmoja wa wawasilishaji mada katika semina hiyo akizungumza jambo kwa baadhi ya wanahabari. Semina hiyo kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadhi ya wanachuo iliandaliwa na Kampuni ya Bridge Tanzania Limited kwa kushirikiana na DUFA chini ya udhamini Mkuu wa Banki ya NMB, pamoja …

Global Education Link Yapeleka Vyuo vya Nje Wanafunzi

Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi waliweza kusafirisha wanafunzi wapatao 70 kwenda nchini China kwa ajili ya masoma. Akizungumza Mkurugeni wa GEL, Abdulmaliki Mollel alisema kuwa wanamshukru Mungu kwa kuendelea kuwafungulia milango ya kuendelea kupokea wanafunzi wanaopenda kusoma vyuo nje ya nchi. Pichani: inawaonyesha  wakiwa tayari katika mstari wa kukaguliwa ili …

Serikali ‘Yawagomea’ Tahliso Kupandisha Posho za Wanafunzi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa haiwezi kuitengenezea fitina Serikali ijayo kwa kuafiki kupandisha malipo ya posho ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaopatiwa mikopo ya Serikali kutoka Sh. 7,500 za sasa hadi sh. 12,500 kwa siku. Rais Kikwete ameyasema hayo Agosti 22, 2015, wakati alipokutana na kuzungumza na viongozi wa Chama cha Wanafunzi wa …

Wanafunzi Feza Schools Washinda Genius Olympiad Kimataifa

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WANAFUNZI sita wa Shule za Feza Tanzania wameshinda mashindano ya taaluma kimataifa ‘Genius Olympiad’ yaliyoshirikisha nchi mbalimbali katika vipengele tofauti na kuzawadiwa medali za dhahabu, shaba pamoja na zawadi mbalimbali. Wakizungumza na waandishi wa habari leo katika moja ya shule za Feza iliyopo Kawe jijini Dar es Salaam Wanafunzi hao kuelezea ushindi wao wameshauri …

Mtandao Hedhi Salama Watoa Mafunzo ya Hedhi kwa Wanafunzi

 Mratibu wa Mradi wa Afya wa Help Kids Edith Peter Mziray akiwasihi wanafunzi kuwa wasikivu wakati wa semina ya Hedhi salama  Mwanafunzi wa Darasa la Tano Anitha Norbart (12) akiuliza swali kama ni sahihi kutumia mdalasini wakati akiwa katika siku zake?  Daktari Edna Kiogwe akitoa elimu juu ya umuhimu wa kujitambua wakati wakiwa katika Hedhi na njia mbadala za kujiweka sawa …

Wanafunzi na Mwalimu Wao Wafa kwa Radi Kigoma

Mwalimu Merina Sekilo aliyenusurika kupigwa na radi wakati akifundisha darasa la kwanza,ambapo wanafunzi 6 walifariki Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Kigoma, Maweni akiongeza na Waandishi wa habari juu ya tukio la radi lililotokea hivi punde na kuuwa watu 8 Na Editha Karlo Karlo wa blog ya jamii,Kigoma WATU wanane wakiwemo wanafunzi sita na mwalimu wa shule ya msingi …