CCM Yatangaza Siku ya Kumkabidhi Uenyekiti Rais Magufuli

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kimetangaza tarehe ya kumkabidhi rasmi uongozi wa chama, Rais John Pombe Magufuli ikiwa ni utaratibu wa kawaida ndani ya chama hicho. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi leo jijini Dar es Salaam kwa wanahabari, Christopher Ole Sendeka Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Julai …

Udhamini wa Lowassa Arusha ni Noma, WanaCCM 120,335 Wamdhamini

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) sambamba na Mkewe Mama Regina Lowassa, wakiongozana na viongizi mbali mbali wa Chama wa Mkoa wa Arusha waliofika kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa KIA, wakati akitokea Mkoani Dodoma kuhudhulia vikao cha Bunge na kupigia kura bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha …