WAMA Yakopesha Wanawake Bilioni 1.9

Na Anna Nkinda – Maelezo, Nachingwea JUMLA ya mikopo yenye thamani ya bilioni 1.9 zimetolewa kwa wanachama wa vikundi vya kukopa na kuweka akiba vilivyopo chini ya mradi wa Mwanamke Mwezeshe unaosimamiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA). Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja wa kuanzishwa kwa vikundi vya …

Japani Kuipanua Sekondari ya Wama kwa Milioni 900

Na Anna Nkinda – Maelezo TAASISI ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Serikali ya Japani wametiliana saini mkataba wa mradi wa upanuzi wa shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama iliyopo Rufiji mkoani Pwani utakaogharimu shilingi milioni mia tisa. Utiaji saini wa mkataba huo umefanyika leo katika ofisi za WAMA zilizopo jijini Dar es Salaam kati ya Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mama …