Mwenyekiti Bunge la Katiba Ahaidi Walemavu Kupewa Haki Katiba Mpya

Na Benedict Liwenga, Maelezo – Dodoma MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana. Sitta ameyasema hayo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye …