JK Apinduwa Tena Wakuu wa Wilaya, Amteuwa Mmoja

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko tena ya wakuu wa wilaya nchini ikiwa ni pamoja na kumteua Anthony Peter Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia Mei 25, 2015. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa vyombo mbalimbali vya habari jana jijini Dar es Salaam, …