Ma RC Waagizwa Kutumia Mfumo wa Kieletroniki Kukusanya Mapato

Na Rebecca Kwandu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), George Simbachawene amewaagiza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanakusanya mapato vizuri kwa kutumia Mfumo wa Kielektroniki wa Ukusanyaji wa Mapato na kutumia vizuri fedha zilizokusanywa ili kuwaletea maendeleo wananchi katika mikoa yao. Akizungumza katika kikao kati yake na Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala …

Wakuu wa Mikoa Wapya Waapishwa Ikulu Dar es Salaam..!

Na Jacquiline Mrisho- Dar es salaam RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amewapa siku 15 Wakuu wa Mikoa kuwaondoa watumishi hewa walio katika orodha ya malipo ya mishahara ya watumishi wa umma katika Mikoa yao. Rais Dk. Magufuli amesema hayo leo Ikulu Jijini Dar es salaam baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa aliowateua Machi 13 …

Rais Magufuli Apangua Ma RC, Ampa Makonda Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko kwa kuwapangua wakuu wa mikoa, kuwahamisha na kuwapandisha baadhi ya Wakuu wa Wilaya kwenda kuwa wakuu wa mikoa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu, wakuu wa mikoa walioteuliwa ni pamoja na Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa …

Rais Kikwete ‘Atimua’ na Kuteua Wakuu wa Mikoa, Ma-Katibu, Ma-DC Waguswa…!

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mjini Dodoma, Novemba 5, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa, Wakuu wapya wa Mikoa ni Bi. Halima Omari Dendego ambaye anakuwa Mkuu …