Serikali Yampongeza Mwandishi wa Kamusi ya Ukristo

  Na Benedict Liwenga-WHUSM SERIKALI imempongeza Mwandishi wa Kamusi ya Ukristo Padre Jordan Nyenyembe pamoja na wadau wengine waliohusika katika kufanikisha uandishi wa Kamusi hiyo. Pongezi hizo zimetolewa jana Jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni katika Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Bibi. Lily Beleko ambaye alimwakilisha mgeni rasmi Mhe. Waziri Nape Nnauye …

Wakristo Zaidi Watekwa Nyara

HOFU imetanda baada ya uwepo wa taarifa kuwa raia Wakristo kutoka Syria wametekwa nyara na wanamgambo wa Islamic State. Taariza zaidi kutoka kwa jamii hiyo imethibitisha kwamba zaidi ya raia 200 wametekwa nyara Jumanne baada ya vijiji kadhaa kushambuliwa kaskazini mwa Syria. Inasemekana wengi wa waliotekwa nyara ni wanawake na wazee. Wakati huo huo, mapigano yangali yakiendelea katika maeneo yaliyoko …