Wakimbizi wa Burundi Kupewa Nafasi Zaidi Kuishi Kawaida

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (kulia) akiwasili kwenye uwanja wa ndege Kigoma akiwa ameambatana na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (hayupo pichani) pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole (wa pili kulia) na kupokelewa na …

Kipindupindu Chawatesa Wakimbizi wa Burundi Tanzania

UMOJA wa mataifa unasema kuwa zaidi ya visa 400 vya ugonja wa kipindupindu vinaripotiwa kila siku miongoni mwa wakimbizi wa Burundi walio nchini Tanzania. Maelfu ya watu wamewasili kwa mashua wakikimbia ghasia za kisiasa nchini Burundi Wamechukua hifadhi katika sehemu zenye misongamano na zilizo na mazingira mabaya. Umoja wa mataifa unasema kuwa takriban watu 3000 wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu na …

Mlipuko Magonjwa ya Kuambukiza Kambi za Wakimbizi Kigoma…!

 Baadhi ya wakimbizi wakiwa wamewasili Kigoma  Wakimbizi kutoka Burundi wakisubiri huduma mbalimbali za kijamii  Mmoja wa wakimbizi akiwa anapata matibabu  Hapa watoto wa wakimbizi wakijipikia Chakula , katika mazingira hatarishi  Mamia ya wakimbizi wakiwa wanatafakari hatima yao  Hii ndio hali halisi ya vyoo ambavyo vimechangia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu Wafanyakazi wa Shirika la Oxfam wakishusha vifaa kwa ajili ya …