Serikali Yasajili Makampuni 51 Wakala wa Ajira

Frank Mvungi, Maelezo   SERIKALI imetoa usajili kwa makampuni 51 ya wakala Binafsi wa Huduma za ajira nchini kati ya 87 yaliyowasilisha maombi yake kwa Kamishna wa kazi. Taarifa hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwan Wema wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Alisema makampuni yaliyosalia 36 hayakupata usajili kutokana na sababu …