Wajumbe Kundi 201 Wajitosa Kulitetea Bunge la Katiba

Na Benedict Liwenga, Maelezo – Dodoma WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa. Tamko hilo limetolewa leo Septemba 03, 2014 na viongozi wa kiroho akiwemo Askofu wa Kikristo Amos Joseph Muhagachi …