Mwenyekiti wa Soko la Gezaulole lililopo Kiwalani Bomu bomu, Muhidin Waziri ‘Ndolanga’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu changamoto iliyokuwepo katika soko hilo juu ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ambavyo hivi sasa vimedhibitiwa baada ya kupata mafunzo kutoka Shirika la Equality for Growth (EfG). Kulia ni Mwezeshaji wa Kisheria wa soko hilo. …
Namaingo Business Agency, NHIF Wawakutanisha Wajasiriamali Tanga
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali na Taasisi ya Kibiashara ya Namaingo Bussiness Agency uliokuwa na lengo la kuwahamasisha kujiunga na bima ya Afya na kuhalalisha biashara zao. MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali na Taasisi ya Kibiashara ya Namaingo Bussiness …
Namaingo Watakiwa Kuchangamkia Uzalishaji wa Malighafi za Viwanda
Na Richard Mwaikenda SERIKALI imeutaka Ushirika wa Vibidar Namaingo kuanza kuzalisha mazao mengi kwa ajili ya malighafi ya viwanda vilivyopo na vinavyotarajiwa kuanzishwa nchini. Ushauri huo ulitolewa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mary Mashingo wakati wa sherehe ya kukabidhi cheti kwa ushirika huo wa Vikundi vya Biashara Dar es Salaam (Vibidar), kwenye Uwanja wa …
Wajasiliamali Wanawake Tanzania Kushirikiana Kibiashara na Comoro
ZIARA ya Kikundi cha Wajasiriamali Wanawake kutoka Tanzania (Tanzania Saccos for Women Enterprenuers) imezaa matunda baada ya kikundi hicho cha kina mama kufanikiwa kuingia mkataba wa ushirikiano (MoU) katika masuala ya biashara na Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali wa Comoro (Association of Women Entrepreneurs in Comoro). Makubaliano hayo ya ushirikiano yalifikiwa kufuatia ziara ya siku mbili iliyofanywa na Kikundi cha …
Wanawake Wajasiliamali Wanasemanini Juu ya Serikali Iliopo na Ijayo?
RAIA wa Tanzania wenye sifa wanatarajia kupiga kura Oktoba 25 katika Uchaguzi Mkuu kuchagua viongozi ambao wataunda Serikali ya awamu ya tano na kuliongoza taifa kwa kipindi cha miaka 5 mfululizo. Yafuatayo ni maoni ya baadhi ya wanawake wajasiliamali walioshiriki Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa (Sabasaba) Viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam juu ya Serikali inayomaliza …
Maoni ya Wanawake Wajasiliamali Dhidi ya Serikali ya Rais Kikwete na Ijayo (2)
WATANZANIA wenye sifa za kupiga kura wanatarajia kupiga kura Oktoba 25 katika Uchaguzi Mkuu kuchagua viongozi ambao wataunda Serikali ya awamu ya tano na kuliongoza taifa kwa kipindi cha miaka 5 mfululizo. Yafuatayo ni maoni ya baadhi ya wanawake wajasiliamali walioshiriki Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa (Sabasaba) katika Viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es …
- Page 1 of 2
- 1
- 2