Viongozi Waipongeza TTCL Maonesho ya Sabasaba

VIONGOZI mbalimbali wa Serikali waliotembelea Banda la Kampuni ya TTCL katika Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea katika Viwanja wa Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba wameipongeza kampuni hiyo kwa utendaji kazi. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Mlengeya Kamani alimwaga pongezi hizo kwa TTCL alipotembelea banda hilo, ambapo aliipongeza Kampuni ya Simu TTCL kwa kazi nzuri …