Wananchi Mwanagati, Kitunda Wailalamikia TANESCO

WANANCHI wa Mwanagati – Kitunda jijini Dar es Salaam na maeneo jirani wamelilalamikia shirika la TANESCO kwa kukatiwa umeme kwa siku tatu mfululizo, bila taarifa yoyote kutolewa kwa wakazi hao. “…Hatuna umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa,” alilalama mmoja wa wakazi wa eneo …