Samuel Sitta Awaita Viongozi wa UKAWA Waigizaji

  Na Benedict Liwenga, MAELEZO – Dodoma   MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amewaadaa baadhi ya viongozi wanaojiita UKAWA kwa taarifa yao ya kutaka kumfikisha Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa kwa kuendeleza mchakato huo wa Katiba. Kauli hiyo imetolewa Septemba 12, 2014 mjini Dodoma na Sitta kufuatia baadhi ya viongozi hao, kudai kuwa watampeleka katika mahakama hiyo. …