TANAPA Yatoa Vyeti kwa Wahariri na Wanahabari Waandamizi…

              Mkurugenzi Mkuu  Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), Allan Kijazi (kulia), akiwa na viongozi wengine kabla ya kuanza zoezi la kutoa vyeti kwa wanahabari washiriki wa mkutano huo. Kutoka kushoto ni Jaji Tuzo za Habari za Tanapa, Jack Muna, Mwenyekiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (Tafori), Dk.Felician Kalahama na Mkurugenzi wa Utalii …

UN Yakutana na Wahariri wa Vyombo Anuai vya Habari Dar

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) pamoja na Mwakilishi wa mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora (kulia) kabla ya kuanza kwa mkutano wa kuboresha ushirikiano kati ya Mashirika …