Wahariri TEF Watembelea Mgodi wa Tanzanite One Mererani

  Modest Apolinary Meneja na Kaimu Mkurugenzi wa mgodi wa Tanzanite One akiwaomyesha wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari mipaka ya mgodi huo, wakati wahariri hao walipoutembelea mgodi wa huo uliopo Mererani wilayani Simanjiro katika mkoa wa manyara kwa ajili ya kuangalia na kujifunza kuhusu shughuli mbalimbali zinazoendeshwa katika mgodi huo ambao kwa sasa unamilikiwa na kampuni ya watanzania inayoitwa …