Bodi ya Usajili Wahandisi Yawafutia Usajili Wahandisi 330

 Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB), Mhandisi Steven Mlote. Mkutano na wanahabari ukiendelea.       Na Dotto Mwaibale   BODI ya Usajili ya Wahandisi nchini (ERB) imewafutia vibali vya  usajili wahandisi 330 baada ya kubainika kukiuka taratibu za ufanyaji kazi wa bodi hiyo.     Hayo yalibainishwa na Msajili Mkuu wa bodi hiyo Mhandisi, Steven …