Zijue Mbinu za Wahalifu wa Mitandao ya Kijamii

Na Benedict Liwenga, Maelezo – DSM MITANDAO ya kijamii ni mizuri katika kuhabarisha endapo inatumiwa kulingana na madhumuni yaliokusudiwa, kwani ina nguvu ya kusambaza taarifa na habari kwa haraka kwa wakati mfupi dunianzima. Pamoja na umuhimu nwa mitandao hii ya kijamii, kuna baadhi ya watu ambao wao hujiona kuwa wameendelea katika ulimwengu wa kisayansi na teknolojia kiasi cha kuanza kuitumia …