Kliniki za Kisukari Kutoa Huduma Jumuishi kwa Wanaougua Kisukari

HOSPITALI maarufu za kimataifa za Apollo ambazo zimeazimia kufungua hospitali na kliniki mbali mbali nchini, hivi karibuni zimetangaza uamuazi wake wa kushirikiana na Sanofi katika upanuzi wa Kliniki za Kisukari za Apollo ambazo zinatatoa huduma jumuishi kwa wagonjwa wa kisukari nchini India. Watanzania wanatazamia kufaidika kutokana na uhusiano uliopo kati ya nchi ya Tanzania na hospitali za Apollo kwahuduma zinazotolewa …