Serikali Yaunda Timu ya Usuluhishi Mgogoro wa Wafugaji na Wakulima Kiteto

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kuunda timu ya watu 10 kutoka kada tofauti wakiwemo viongozi wa dini ambao watapewa jukumu la kufanya kazi ya usuluhishi kwenye vijiji vyenye migogoro baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kiteto mkoani Manyara. Ametoa kauli hiyo Novemba 23, 2014 wakati akiwasilisha salamu za Serikali kwenye ibada ya kumweka wakfu Askofu wa …