Mashindano ya Kukuna Nazi kwa Akinababa, Bonanza la Toyota Tanzania

 Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, juzi Agosti 23, 2014. Katika Bonanza hilo timu ya Rav 4 iliibuka mshindi wa jumla katika michezo yote iliyochezwa ikifuatiwa na timu ya Hilux, VX na Prado. Picha zote na www.sufianimafoto.com    Mkurugenzi …

Kikwete, TUCTA Wajadili Maslahi na Ustawi wa Wafanyakazi

*Aagiza uundwaji mabaraza ya wafanyakazi utumishi wa umma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Aprili 17, 2014, alifanya mazungumzo na majadiliano ya kina na viongozi wa vyama vyote vya wafanyakazi nchini yenye nia ya kutafuta njia za kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi nchini. Mazungumzo hayo ya muda mrefu yaliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam yalihudhuriwa pia …