Wafanyakazi wa Jambo Leo Walivyo Ukaribisha Mwaka Mpya 2017…!

  Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.   Wakigongeana ikiwa ni ishara ya kutakiana heri ya Mwaka Mpya wa 2017.   Wakicheza kwa furaha muziki uliokuwa ukiporomoshwa wakati wa hafla hiyo. …

Wafanyakazi Double Tree by Hilton Wafanya Usafi Mazingira ya Fukwe Dar

  Mkurugenzi mkuu wa Hotel ya Double Tree by Hilton nchini Tanzania, Bw.Ian Mclachan (wa pili kutoka kushoto) akifanya usafi katika ufukwe wa Bahari inayoizunguka Hoteli ya Double Tree huku akishirikiana bega kwa bega na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Hoteli ya Double Tree By Hilton, Bw. Yehia Elmansoury (wa kwanza kushoto). Baadhi ya uchafu uliokuwa katoka fukwe ya …

Wafanyakazi wa MSD Katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya Akina Mama Duniani zilizofanyika. Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo  Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Akina kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili,.Matlida Ngarina aliyeAlikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya akina mama, akizungumza na wafanyakazi wa (MSD)  Mjasiriamali  maarufu wa saluni …

Wafanyakazi Helios, Tanesco Wafanya Warsha

  Eranus Thompson, Mkuu wa uendeshaji wa Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani kutoka Kampuni ya Helios Tower Tanzania akizungumza jinsi Helios Tower wanavyoweza kusambaza umeme unaozalishwa na Tanesco wakati wa warsha ya siku moja na Wafanyakazi wa Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere.  Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji …

Wafanyakazi Manispaa Kinondoni Wapewa Mafunzo na WWF

SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la WWF, limeendesha mafunzo kwa wafanyakazi wa idara mbalimbali za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) kuhusiana na ueneaji wa hewa ukaa na matumizi sahihi ya nishati jadidifu nchini. Mafunzo hayo yametolewa na Mtaribu wa Programu hiyo kutoka WWF  Teresia Olemako alisema lengo la mafunzo hayo ni katika kuhakikisha kuwa watumishi wa Idara mbalimbali wanakuwa na …