WADAU wa Sekta binafsi nchini Jumanne wiki hii, wamefanya mkutano ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano wao na serikali chini ya jukwaa la Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) unaotarajiwa kufanyika Mei 6 mwaka huu. Mkutano huo wa ndani uliandaliwa na Taasisi ya Sekta binafsi nchini – TPSF ulilenga kuwekana sawa kuhusu namna bora ya kuiwakilisha sekta binafsi katika …
Mgambo Mwisho Kukamata Wafanyabiashara Ndogondogo – CCM
Na Joachim Mushi, Arusha CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kikifanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kitahakikisha mgambo wa halmashauri ya jiji hawawasumbui kwa kamatakamata za wafanyabiashara ndogondogo ambao wengi wao ni akinamama pamoja na vijana. Kauli hiyo imetolewa leo na mgombea mwenza nafasi ya urais tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara katika mkutano uliofanyika uwanja …
Meya Kinondoni Awakabidhi Soko Wafanyabiashara Ndogondogo
Na Mwandishi Wetu MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda amesema kuwa soko jipya la SIMU 2000 litaweza kuchukua wafanyabiashara 512 kutoka kila pembe ya Manispaa ya Kinondoni. Mwenda amewatoa hofu wafanyabiashara wa soko jipya la kituo cha basi cha Simu 2000 mawasiliano kuwa watafanya biashara bila ya kuwa na matatizo yoyote kwa kuwa soko hilo lipo katika mfumo …
Wafanyabiashara Iringa Mjini Wagoma
Askari wa FFU wakizunguka mitaa mbali mbali ya mji wa Iringa jana kama njia ya kulinda amani kwa wafanyabiashara ambao waliendelea kutoa huduma baada ya wenzao kuwa katika mgomo MOja kati ya maduka mjini Iringa yakiendelea kutoa huduma mbali ya wafanyabiashara wengine kuwepo katika mgomo kushinikiza kuachiwa huru kwa mwenyekiti wa wafanyabiashara Taifa Bw Johnson Minja Mmoja kati ya …
Benki ya Posta Yawafunda Wafanyabiashara Tunduma
BENKI ya Posta Tanzania (TPB), Tawi la Tunduma imetoa mafunzo kwa wajasiriamali wa Tunduma, wilayani Momba. Semina hiyo iliyohudhuriwa na wajasiriamali wapatao 100, ililenga kuwaelimisha wafanyabiashara hao kuhusu matumiza mazuri ya huduma za kibenki, hususan mikopo inayotolewa na benki hiyo. Akifungua semina hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Momba Abiudy Saideya, aliipongeza Benki ya Posta kwa kutoa mafunzo ambayo alisema yanawasaidia …
Wafanyabiashara Mwanza Kukumbwa Magonjwa ya Mlipuko
Na Kibada Kibada – Mwanza WAFANYABIASHARA ya samaki na bidhaa nyingine za maliasili katika soko la Samaki la Mwalo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemeala Jijini Mwanza wako hatarini kupatwa na Magonjwa ya mlipuko hasa wakati huku mvua zinazoendelea kunyesha kutokana na changamoto ya uchafuzi wa mazingira uliopo katika soko hilo. Mbali ya uchafuzi huo pia zipo changamoto nyingine za uhaba wa …
- Page 1 of 2
- 1
- 2