Benki ya Exim China Yaahidi Kushirikiana na Tanzania

  RAIS wa Benki ya Exim ya Nchini China Bw. Liu Liang amesema Benki hiyo itaendelea kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufadhili miradi ya maendeleo ikiwa ni hatua ya kuendeleza ushirikiano uliopo kati ya Serikali ya China na Tanzania unaolenga kuboresha, kujenga na kuinua uchumi imara kwa wananchi wa Nchi hizo. Bw. Liang amesema hayo …

Wachina Wanne Wahukumiwa kwa Kuihujumu Tanzania

Watuhumiwa wakifikishwa mahakamani .   Pembe za Faru walizo kamatwa nazo watuhumiwa hao wanne rai wa China katika Mpaka wa Kasumulu Kyela. Na Ezekiel Kamanga, Mbeya MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo chamiaka 20 jela raia wanne wa China na kulipa faini  baada ya kukutwa na hatia kwa makosa matatu ikiwemo uhujumu uchumi kwa kukutwa na pembe za faru. …

Halmshauri Kisarawe Yawavuta Wawekezaji Wachina

 Kibao kinacho elekeza eneo la mradi wa viwanda wilayani Kisarawe mkoani Pwani lililopo Visegese. Mradi huo unaendeshwa na Halmshauri hiyo na wabia wa Kampuni ya World Map  Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe,  Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World Map  na …