Waziri Muhongo Kuwapa Ruzuku Wachimbaji Madini Wadogo

  Na Daudi Manongi, MAELEZO-Dar es Salaam SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imepanga kuwapatia ruzuku wachimbaji wadogo wa madini ili kuongeza mchango wa madini katika pato la taifa kutoka asilimia 3.5 ya sasa hadi 10. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo wakati wa mahojiano ya kipindi maalum cha Tunatekeleza kinachorushwa na kituo cha …

Wachimbaji Waliofukiwa Ardhini Siku 41 Wapatikana Hai

Na Jacquiline Mrisho- Maelezo WACHIMBAJI wadogo wadogo watano waliofukiwa katika mgodi wa Nyangalata ulioko wilayani Kahama na kukaa shimoni kwa siku 41 wamepatikana wakiwa hai. Taarifa hiyo imetolewa na Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Bi. Badra Masoud alipokua akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuwa wachimbaji hao walikaa kwa muda wa siku 41 kuanzia …