Mkutano Mkuu UTPC Wafanyika Mkoani Mwanza…!

  Rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC, Deo Nsokolo, akifungua Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC. Mkutano huo unajadili masuala mbalimbali ikiwemo Mpango Mkakati wa UTPC kwa mwaka 2016/20 uliofadhiriwa na Shirika la Sida. Wajumbe wa bodi, UTPC, wakiwa kwenye mkutano huo. Mwenyekiti wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kushoto) …

Waandishi wa Habari Watembelea Hifadhi ya Taifa ya Gombe

Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Boti wakielekea Hifadhi ya Taifa ya Gombe, hifadhi maarufu kwa kuwa na mnyama aina ya Sokwe mtu. Watalii wakielekea Hifadhi ya Taifa ya Gombe. Eneo mojawapo linalotumiwa na wavuvi katika mwambao mwa ziwa Tanganyika jirani na Hifadhi ya taifa ya Gombe. Baadhi ya wanahabari muda mfupi baada ya kufika hifadhi ya taifa ya Gombe. Meneja …

Mwenyekiti wa ALAT Aisaidia Ofisi ya Wanahabari Shinyanga

  Kushoto ni mwenyekiti wa Jumuiya ya serikali za mitaa nchini Tanzania, ambaye ni mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga, Gulam Hafeez Mukadam akiwa katika ofisi ya klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club -SPC) zilizopo mjini Shinyanga alipotembelea ofisi hiyo jana. Kulia ni Mwenyekiti wa SPC, Kadama Malunde*****