Taarifa ya utafiti huo ikiendelea kutolewa. Mwanahabari Hilda wa gazeti la Daily News akiwa mzigoni. Maofisa wa LHRC wakifuatilia mkutano huo. Na Dotto Mwaibale UTAFITI uliofanywa na Mwanachama wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Ananilea Nkya, kama sehemu ya masomo yake ya Shahada ya Uzamivu (PhD), umebaini kuwa habari zinazotangazwa na vyombo vya habari nchini hazichangii …
TBN Yayaonya Magazeti kwa Kutumia Picha za Blogu Bila Idhini
CHAMA cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii nchini ‘Tanzania Bloggers Network’ (TBN) kinasikitishwa na kulaani vitendo vya baadhi ya Vyombo vya Habari kutumia kazi za wanachama wake (picha, video, habari) bila idhini na bila kutoa maelezo stahiki ya vyanzo vya kazi hizo. Mfano mmoja ni Gazeti la kila siku la Majira, toleo namba 8217 la Alhamisi Julai 7, 2016 ambalo …
Serikali Yalifuta Gazeti la MAWIO Kuchapishwa
Na Benedict Liwenga-Maelezo SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kulifuta kutoka katika Daftari la usajili wa magazeti, gazeti lijulikanalo kama “MAWIO”. Amri ya kulifuta Gazeti hilo imetolewa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye wakati alipokutana na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) uliopo Jijini Dar es Salaam. Nnauye amesema …
IAWRT Yazinduwa Ripoti ya Nafasi ya Mwanamke Katika Vyombo vya Habari
Bi Razia Mwawanga kutoka IAWRT akifungua mkutano wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti kuhusu wanawake wanavyopewa nafasi hasa katika vyombo vya habari hasa hapa nchini. Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali nchini la International Association of Women in Radio and Television (IAWRT) Tanzania Bi. Rose Haji Mwalimu akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti kuhusu wanawake wanavyopewa …
Wamiliki Vyombo vya Habari Wapinga Mswada wa Sheria Vyombo vya Habari
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi. Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed …
- Page 1 of 2
- 1
- 2