Mrema wa TLP ‘Amchokonoa’ Katibu Maalim Seif CUF

MWENYEKITI wa Taifa wa TLP, Augustino Lyatonga Mrema ameibuka na kumtuhumu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Shariff Hamad anatumia njia zisizo sahihi kutaka kuingia madarakani kutokana na maneno ambayo amekuwa akiyatoa mara kadhaa katika kauli zake. Mrema ametoa tuhuma hizo leo akizungumza na vyombo vya habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dar es …