Kifo cha Christopher Mtikila Chahairisha Baraza la Vyama vya Siasa

 Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini, Peter Mziray (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha baraza hilo kilichokuwa kifanyike Oktoba 6 na r7, 2015 kutokana na kifo Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, …

ACT Waanza Kumtupia Lawama Msajili wa Vyama vya Siasa

 Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu.  Viongozi wa chama hicho wakiwa meza kuu. Kutoka kushoto Kaimu Katibu wa chama hicho, mkoa wa Dar es Salaam, Peter Katunka, Kaimu Katibu Mkuu, Leopold Mahona, Mwenyekiti, Kadawi Lucas Limbu na Katibu Muenezi Fredy Kisena. Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu.  Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu (kulia) akisisitiza jambo. …

Matukio Picha Siku Ilipofanyika ‘Ndoa’ ya UKAWA

VYAMA vinne vya upinzani nchini, ambavyo ni Chadema, CUF, NCCR Mageuzi na NLD vilisaini makubaliano ya kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote zijazo kwa mwaka 2014. Vyama hivyo vimeibuka na nguvu mpya baada ya kuunganishwa na hoja ya kutetea Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo ilielezewa kuwa ilitokana na maoni ya …

CHADEMA, CUF, na NCCR-Mageuzi Kushirikiana Uchaguzi 2015

*Kusimamisha mgombea mmoja wa urais 2015 VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimeanza maandalizi ya kushirikiana katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya urais, gazeti hili limebaini. Kadhalika, vyama hivyo ambavyo ni Chadema, NCCR Mageuzi na CUF vinakusudia kuwa na mgombea mmoja wa nafasi za wabunge na madiwani, ikiwa ni hatua ya kuzikabili …