Wanafunzi Waonywa Kuhusu Maambukizi ya VVU

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi WANAFUNZI wametakiwa kujiepusha na vitendo vitakavyochochea wao kupata maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na mimba za utotoni jambo litakalowafanya wakatize masomo na hivyo kutotimiza ndoto za maisha yao. Rai hiyo imetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati …