Dangote ends Nigeria’s Cement Importation…!

FOLLOWING continuous increase in its production capacity, foremost cement manufacturer, Dangote Cement Plc has finally ended the era of Nigeria’s dependence on importation as the company exported 0.4 million tons of the product to other countries in 2016. In its 2016 full year audited results presented on the floor of the Nigerian Stock Exchange (NSE) in Lagos yesterday, Dangote Cement …

Mbene; Akerwa na Uchakavu wa Miundombinu Viwandani

Na Humphrey Shao, Dar es Salaam TANZANIA ni moja kati ya nchi ambayo ipo katika jitahada kubwa kuhakikisha kuwa inakuwa nchi ya viwanda ifikapo mwaka 2020. Katika kufanikisha hili Tanzania imekuwa katika mipango ya kuhakikisha kuwa kunakuwepo na viwanda vidogo na vikubwa vinavyofanya kazi kwa ajili ya kuinua uchumu wa nchi. Kwa kipindi zaidi ya miezi mitatu nimekuwa nikiambatana na …

Kukua kwa Viwanda Kwahitaji Mabadiliko ya Kisera – ESRF

Mkuu wa utafiti na machapisho ESRF, Profesa Fortunata Makene akifungua warsha. Washiriki wa warsha ya siku moja ya ujasiriamali mdogo na wa kati katika muktadha wa fedha iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF). Na Mwandishi Wetu SERIKALI imetakiwa kufanya mabadiliko makubwa ya kisera kuwezesha kukua kwa viwanda vidogo na vya …