Kukata Viuno ‘Hadharani’ Marufuku Nchini Misri

BODI ya Kidini ya Misri, imetoa tamko la kukataza uoneshaji wa kipindi kilichoanzishwa kwenye Televesheni nchini humo kuonesha michezo ya jadi ya wanawake wa misri kukata viuno (kunengua)almaarufu ‘belly dance’. Ngoma hiyo inayofanana na chakacha ya waswahili ilianza kuchezwa tangu zama za kale na imenakiliwa hata katika enzi za ma-pharoah nchini Misri. Ni densi ambayo isingekosekana kwenye sherehe muhimu. Harusi …