Mjeruhiwa Macho na Scorpion Amliza Paul Makonda…!

     Kijana Said Mrisho anayedaiwa kujeruhiwa na kutobolewa macho na Salumu Henjelewe maarufu kama Scorpion (katikati), akisaidiwa na ndugu zake wakati akiingia ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari.      Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kabla ya …

Mapambano ya Ukatili Yanaitaji Nguvu za Pamoja – Tume ya Haki za Binadamu

VITA dhidi ya mapambano ya vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini Tanzania havina budi kuungwa mkono na makundi yote kutokana na umuhimu wake. Hali hii ni kutokana na kwamba madhara ya ukatili katika jamii yanaathiri jamii nzima bila kujali jinsia. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay katika Maadhimisho …

Je, Kwanini Wanawake Husifika kwa Vitendo vya Ukatili?

Na Happy Joseph NIMEJARIBU kuchambua kwa kadri nilivyoweza na kwa ufupi(japo haitaonekana kama uchambuzi mfupi) Matukio ya kinyama kwa ujumla wake bila kuseparate jinsia yanasababishwa na kitu kimoja kikubwa…KUKOSA UPENDO. Nadhani kukosa upendo kwaweza kutazamwa zaidi kiimani na kisaikolojia. KISAIKOLOJIA Binadamu tangu atungwapo mimba huanza kujifunza na kujenga tabia yake atakayokuwa nayo siku za baadaye. Wataalam wa saikolojia wanasisitiza mama …