Elimu ya awali yaendeshwa bila vitabu Tunduru

Na Joachim Mushi, Tunduru SHULE nyingi za msingi zenye madarasa ya awali Wilayani Tunduru zimekuwa zikiendeshwa kwa changamoto mbalimbali ikiwemo ya kutokuwa na vitabu vya baadhi ya masomo kabisa huku zikiwa na upungufu mkubwa wa vitabu kwa masomo mengine. Hali hiyo imebainika hivi karibuni katika uchunguzi uliofanywa kwa baadhi ya Shule za Msingi za Wilaya ya Tunduru, Mkoani Ruvuma huku …