Waziri Pinda Apokea Msaada wa Vitabu Shule ya Msingi Kakuni

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amepokea msaada wa vitabu 895 vyenye thamani ya sh. milioni 6.5/- ikiwa ni jitihada ya wadau mbalimbali kuchangia shule ya msingi aliyosoma ya Kakuni iliyoko kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoani Katavi. Waziri Mkuu amepokea msaada Mei 26, 2015 kwenye shule mpya ya msingi Kakuni ambayo bado inaendelea kujengwa kwenye kijiji cha Kibaoni. Akizungumza katika hafla …

Vitabu Milioni 2.5 Vyasambazwa Kwa Shule za Sekondari Nchini

Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kushoto), akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete sehemu ya vitabu ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya vitabu milioni 2.5 vya sayansi na hisabati vilivyotolewa na serikali ya Marekani kwa ajili ya shule za sekondari za serikali nchini katika hafla iliyofanyika Shule ya Sekondari Mtakuja Beach iliyopo Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam leo. Hafla hiyo ilifanyika …

Rais Kikwete Alipa JWTZ Vitabu 2752

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi baadhi ya vitabu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange. Rais Kikwete amekabidhi vitabu hivyo 201 kwa ajili ya Maktaba ya Chuo cha Ulinzi (National Defence College – NDC) iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam January 9, 2015. Rais kikwete, ambaye ameshachangia jumla ya vitabu 2752 katika maktaba ya chuo hicho na chuo …