Frank Mvungi – Maelezo SERIKALI imewataka wananchi kujihadhari na makampuni yanayojiingiza katika kazi za upimaji ardhi au uthamini bila ya kusajiliwa na bodi au halmashauri zenye mamlaka ya kusimamia taaluma husika. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Justo Lyamuya wakati wa mkutano na waandishi wa …