Mwanasaikolojia Awafunda Wajasiriamali wa Vipodozi Dodoma

   MWANASAIKOLOJIA Anti Sadaka amewafunda wanawake wa Mkoa wa Dodoma wanaoshiriki mafunzo ya ujasiriamali ya kujikita katika biashara ya Vipodozi vya LuvTouch Manjano. Mafunzo hayo yanaendeshwa na wataalamu kutoka taasisi ya Manjano Foundation na mkufunzi wa maswala ya Biashara mjini Dodoma yanayoendelea kwa wiki nzima.  Washiki Kutoka Mkoani Dodoma na Maeneo Jirani wakiliskiliza kwa Makini Wakati wa Mafunzo hayo Leo. Anti …

TFDA Wavitaja Vipodozi Hatari Hapa…!

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Hiiti Sillo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya TFDA Dar es Salaam leo, wakati akitoa tahadhari ya uwepo katika soko wa vipodozi vyenye viambato vilivyopigwa marufuku na Serikali. Kulia ni Mkurugenzi wa Dawa  na Bidhaa Nyongeza, Fimbo Mitangu. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. 1. MAMLAKA ya Chakula …

Ujue Urembo Bila Vipodozi, Yajue Manufaa ya Kula Vyakula ‘Vibichi’

NDIVYO. Hii haina mjadala kabisa. Kama ukisikia moto huharibu vyakula katika mapishi basi kinyume chake ni kuwa ukila vyakula visivyopikwa utakuwa umegeuza mambo na utakuwa umeupa mwili wako vitu adimu sana kwa maisha yetu ya leo ambayo bila moto watu hawakai mezani. Unapozungumzia urembo basi ujue unagusa mambo matatu: yaani utulivu wa akili, mwili na roho pia. Unapokula vyakula visivyopikwa …