Viongozi Waanzilishi TAPSEA Walalamikia Uchaguzi wa Chama Chao

MGOGORO wa uongozi ndani ya Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) umeingia katika hatua tata baada ya viongozi waanzilishi wa chama hicho kulalamikia uchaguzi uliopangwa kufanyika Mai 30, 2015 mjini Dodoma ilhali kuna mgogoro wa uongozi ndani ya chama hicho ukiendelea. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa niaba ya viongozi wenzake Mwenyekiti wa TAPSEA, Pili Mpenda ambaye pia ni …

Viongozi Coastal Union Wajipanga Kuepuka ‘Aibu’

Na Mwandishi Wetu, Tanga VIONGOZI wa Klabu ya Coastal Union wamewatakiwa kushikamana vilivyo ili kuweza kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika michezo yao iliyosalia katika Michuano ya Ligi kuu soka Tanzania Bara. Wito huo ulitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Magalula Saidi wakati alipokutana na viongozi wa timu hiyo ofisini kwa lengo la kufahamiana ambapo Makamu Mwenyekiti wa Coastal …

Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Chawataka Viongozi Kupitia Kozi ya Maadili

 Mkuuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,  Profesa, Shadrack Mwakalila.  Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea.   CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kimeiomba Serikali kurudisha utaratibu wa viongozi mbalimbali wa Serikali kupata mafunzo ya maadili na uongozi katika chuo hicho.   Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila wakati akizungumza na waandishi wa habari …

Viongozi Wataka Katiba Ijayo Imtambue Mtoto na Haki Zake

Na Joachim Mushi MCHAKATO wa kujadili na kuandika Katiba Mpya unaendelea bungeni mjini Dodoma, licha ya kuwepo kwa mvutano na mgawanyiko wa makundi ya wabunge wa bunge maalumu wanaojadili Rasimu ya Pili iliyowasilishwa kwao. Wakati hayo yakiendelea viongozi, wanaharakati na wadau wa watoto wanapendekeza masuala ya haki za msingi za watoto yatambulike vizuri katika katiba ijayo. Mwenyekiti wa Mtandao wa …