hafla uwekaji wa saini mikataba ya kupeleka mawasiliano ya simu kwenye maeneo ya vijijini. [/caption] KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) kuwapatia wananchi waishio vijijini zaidi ya Laki Moja mawasiliano ya Simu ifikapo mwaka 2016. Jumla USD 3.3 (sawa na Bilioni 6.8 Tsh) zitatumika kwa ajili ya kupeleka mawasiliano kwenye kata 41 zenye vijiji 41 kupitia ruzuku kutoka kwa Mfuko wa …
Vijiji 31 Iringa Kufungwa Umeme – Naibu Waziri
Na Fredy Mgunda, Iringa VIJIJI 31 vilivyopo Mufundi Kaskazini mkoani Iringa vinatarajia kupokea umeme na tayari baadhi ya vijiji hivyo vipo katika hatua ya mwisho ya kufunga vikombe kwa ajili ya kuanza kuvuta nyaya za umeme. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Babtist …
Mkuranga na Ukombozi Kiuchumi Toka MKURABITA
*‘Hatimiliki za ardhi ni pasipoti kuelekea uchumi rasmi’ *Benki zatakiwa kuzitambua kwa mikopo “Tumieni hati kutafuta mikopo yenye thamani kubwa ili iwaletee maendeleo sio kutumia hati yenye thamani kubwa kama hii, kupata mkopo wa kufuga kuku kumi. Kama ni ufugaji, fanyeni ufugaji wa kisasa wenye tija.” Anaasa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Silla katika hotuba yake kabla …