Vijiji 31 Iringa Kufungwa Umeme – Naibu Waziri

Na Fredy Mgunda, Iringa VIJIJI 31 vilivyopo Mufundi Kaskazini mkoani Iringa vinatarajia kupokea umeme na tayari baadhi ya vijiji hivyo vipo katika hatua ya mwisho ya kufunga vikombe kwa ajili ya kuanza kuvuta nyaya za umeme. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Babtist …