TTCL Kupeleka Mawasiliano Katika Vijiji 76

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imesaini mkataba na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) wenye gharama ya USD 2,244,376/- milioni (sawa na Tsh 4.1/- bilioni) kwa ajili ya kupeleka mawasiliano ya simu katika kata 19, yenye vijiji 76. Kata hizo zinatakazonufaika na mradi huu ni pamoja na; Gelai Meirugoi, Arash na Olbalbal- Arusha, Mbondo – Lindi, Makame Shambarai na …