‘Uwepo wa Kundi Kubwa la Vijana Wasiokuwa na Ajira Natizo Duniani’

Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan akionyesha gazeti la “Tuwasiliane” linalochapishwa na UTPC na kusambazwa kwa wadau na maeneo mbalimbali ya jijini Mwanza kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez  aliyetembelea makao ya ofisi hizo kwa ajili …

Vijana Tusikubali Kutumika Kivurugu – Mama Kikwete

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete amewataka vijana kuwa na msimamo na kutokubali kutumika katika vurugu zinazohatarisha amani na usalama wa nchi. Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alitoa rai hiyo hivi karibuni wakati akifungua …

Vijana Kuongezeka Katika Biashara ya Mali Zisizohamishika-Lamudi Tanzania

BIASHARA ya ununuzi na ukodishaji wa nyumba inashamiri kwa haraka na biashara hii inatumiwa na vijana wengi katika sekta ya uwekezaji hasa miaka ya karibuni. Kwa sasa imefikia asilimia 59.37 ya vijana wenye umri kati ya 25-34, ambao wanajihusisha na shughuli hii, kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na Lamudi, Inaonyesha kuwa watu wengi zaidi wanania ya kuanza biashara hii …

Vituo 33 vya Kuwawezesha Vijana Kiuchumi Vyafunguliwa

SHIRIKALISILO la Kiserikali linalojihusisha na changamoto zitokanazo na ongezeko la idadi ya watu, DSW limefungua jumla ya vituo 33 kote nchini kwa ajili ya kuwaelimisha vijana kuhusu masuala ya afya na uzazi, kujitambua na kujikwamua kiuchumi. Akizungumza katika Maonesho ya Wiki ya Vijana yanayoendelea mjini Tabora, Meneja Mkazi wa Miradi washirika la DSW nchini Tanzania, Avit Buchwa alisema vituo hivyo …

Vijana Mwanza Wapewa Semina Juu ya Unyanyasaji wa Kijinsia

Mwandishi Wetu, Mwanza MWANAHARAKATI wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake la KIVULINI jijini Mwanza, Bi. Khadija Liganga ametoa mafunzo kuhusu Unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto kwa vijana takribani 100 wa Jiji la Mwanza ikiwa ni hatua za kuwajenga vijana katika misingi ya kuachana na mila, tamaduni na dhana potofu zinazowakandamiza wanawake na watoto katika jamii. Semina …