NI mategemeo yetu watanzania wengi kuwa vigogo waliohusika kwa namna moja au nyingine katika sakata la fedha za Tageta Escrow kuwa wanajiuzulu nafasi zao na mkondo wa sheria uwashughulikie haraka kwani hakuna aliye juu ya sheria watanzania wote tupo chini ya sheria. Vigogo hawa wazito wanahusika kupokea mgao wa fedha za wavuja jasho wa nchi hii lazima washughulikiwe na vyombo …