Raia 12 wa Kenya Wauawa Mpakani na Somalia

MAOFISA wa Kenya wamethibitisha kuwa watu 12 wameuawa katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia, katika shambulio linaloshukiwa kufanywa na wanamgambo wa Al shabaab. Watu wengine 7 raia wa Kenya hawajulikani waliko. Shambulio hilo limetokea siku moja baada ya jeshi la anga la Kenya kuvamia kwa makombora maeneo yanayoshukiwa kuwa ngome za wapiganaji hao wa kiislamu, upande wa Somalia. Bado …