JK Atuma Rambirambi Vifo vya Mvua ya Mawe Shinyanga

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ali Nasoro Rufunga kuomboleza vifo vya watu 38 huku wengine 82 wakijeruhiwa usiku wa kuamkia tarehe 4 Machi, 2015. Tukio hilo la kusikitisha limetokea katika Kata ya Mwakata iliyoko katika Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga kufuatia mvua kubwa ya mawe …

Albino Kumfuata Rais Kikwete Ikulu Kuhoji Vifo

 Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa pamoja na maandamano hayo ya amani ya kwenda Ikulu. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Action on Disability & Development (ADD), Mathew Kawongo na Ofisa Habari  Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat …

Ushirikiano Utapunguza Vifo vya Saratani kwa Kinamama

Na Anna Nkinda – Maelezo, New York USHIRIKIANO wa pamoja unatakiwa kuhakikisha wagonjwa wanaougua saratani za mlango wa kizazi, matiti na tezi dume wanapata matibabu kwa wakati ili kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Rai hiyo imetolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mjadala wa wake wa marais wa Afrika wa kupambana na saratani za mlango wa kizazi, …